Home Mchanganyiko MASAUNI, TAASISI YA MISAADA YA ABDULLAH WATOA VIFAA KWA VIJANA VISIWANI ZANZIBAR...

MASAUNI, TAASISI YA MISAADA YA ABDULLAH WATOA VIFAA KWA VIJANA VISIWANI ZANZIBAR VITAKAVYOWASAIDIA KUJIONGEZEA KIPATO

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa Hafla ya Utoaji wa Vifaa mbalimbali vya Ujasiriamali kwa vijana ili kuwaepusha na makundi hatarishi kwa kuwawezesha katika kujiendeleza kiuchumi kwa kufanya kazi za uzalishaji.Hafla hiyo imefanyika  Visiwani Zanzibar.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kulia),Mjumbe kutoka Shirika la Kuwawezesha Vijana la Abdullah,Rashid Ahmed(wanne kulia) wakimkabidhi Fundi Magari, Ally Saleh(wakwanza kulia),boksi maalumu la vifaa vya ufundi wakati wa kukabidhi vifaa mbalimbali kwa vijana wajasiriamali ikiwa na lengo la kuwasaidia kukuza vipato vyao na kuwaweka mbali na makundi hatarishi.Hafla hiyo imefanyika Visiwani Zanzibar.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kulia),Mjumbe kutoka Shirika la Kuwawezesha Vijana la Abdullah,Abdallah Mrusi(wanne kulia) wakimkabidhi Fundi Bodaboda,Mohammed Ally  (wakwanza kulia),boksi maalumu la vifaa vya ufundi wakati wa kukabidhi vifaa mbalimbali kwa vijana wajasiriamali ikiwa na lengo la kuwasaidia kukuza vipato vyao na kuwaweka mbali na makundi hatarishi.Hafla hiyo imefanyika Visiwani Zanzibar

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kulia),akimkabidhi Mgeni Awadhi cherehani ikiwa na lengo la kumsadia kukuza kipato katika shughuli zake za ujasiriamali.Hafla hiyo imefanyika Visiwani Zanzibar.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia), Mjumbe kutoka Shirika la Kuwawezesha Vijana la Abdullah, Abdallah Mrusi (wanne kulia) wakimkabidhi Hussein Ally   (wakwanza kulia), kifaa maalumu  wakati wa kukabidhi vifaa mbalimbali kwa vijana wajasiriamali ikiwa na lengo la kuwasaidia kukuza vipato vyao na kuwaweka mbali na makundi hatarishi.Hafla hiyo imefanyika Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi