Home Michezo Waziri Mwakyembe Apokea Matembezi Ya Kuonesha Utamaduni wa Afrika Mashariki (JAMAFEST

Waziri Mwakyembe Apokea Matembezi Ya Kuonesha Utamaduni wa Afrika Mashariki (JAMAFEST

0

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)
wakiwa katika matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka
nchini Rwanda wakicheza ngoma yao ya asili wakati wa matembezi ya kuonesha
Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akiwapungia wananchi (hawapo pichani) wakati akipokea matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka
nchini Burundi wakipita huku wakicheza ngoma yao ya asili mbele ya Mgeni Rasmi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka
nchini Tanzania wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Bendera za Mataifa yanayoshiriki Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika
Mashariki (JAMAFEST) zikipandishwa kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka
nchini Uganda wakicheza ngoma yao ya asili mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka
nchini Tanzania Zanzibar wakicheza ngoma yao ya asili mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akisisitiza jambo kwa washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki
(hawapo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria
kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Susan Mlawi
(kushoto) akiwasalimia washiriki wa tamasha wa washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (hawapo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa wizara hiyo Dk. Harrison Mwakyembe .

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kupokea matembezi ya
kuonesha Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Picha WHUSM –Dar es Salaam.