Home Mchanganyiko NDEJEMBI AKUTANA NA DC KITETO KUJADILI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WA PANDE ZOTE...

NDEJEMBI AKUTANA NA DC KITETO KUJADILI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WA PANDE ZOTE MBILI

0

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Deo Ndejembi pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara,Tumaini Magesa wamekutana leo katika kikao cha ujirani mwema kujadili changamoto mbalimbali za Ufugaji, Kilimo na Kijamii zinazowakabili wananchi wa pande zote mbili.