Home Mchanganyiko DK.SHEIN AKUTANA NA RAIS WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMMORO

DK.SHEIN AKUTANA NA RAIS WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMMORO

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo  kwa ajili ya kusalimiana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu