Home Mchanganyiko MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU OFISI YA BUNGE AFUNGUA MAFUNZO MAALUM...

MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU OFISI YA BUNGE AFUNGUA MAFUNZO MAALUM YA KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WA BUNGE

0

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Ofisi ya Bunge, Ndg. Jane Kajiru akifungua mafunzo kuhusu Masuala Mbali mbali yakiwemo utafiti katika Masuala yanayohusu Jinsia katika Mradi wa awamu ya pili ya kuwajengea uwezo Wabunge na Watumishi wa Bunge unaodhaminiwa na UNDP leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Maktaba na Utafiti Ofisi ya Bunge, Ndg. Deogratius Egidio akizungumza jambo wakati wa Mafunzo Maalum kwa Maafisa Utafiti wa Bunge kuhusu Masuala Mbali mbali yakiwemo utafiti katika Masuala yanayohusu Jinsia katika Mradi wa awamu ya pili ya kuwajengea uwezo Wabunge na Watumishi wa Bunge unaodhaminiwa na UNDP leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Bunge, Ndg. Jane Kajiru na Mratibu wa Mradi wa Awamu ya pili wa kuwajengea uwezo Wabunge na Watumishi wa Bunge, Ndg. Mary Lasway

Mkufunzi kutoka Bunge la Zimbabwe, Dkt. Isaiah Munyoro akitoa maada mbele ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge kutoka idara ya Maktaba na Utafiti kuhusu Masuala Mbali mbali yakiwemo utafiti katika Masuala yanayohusu Jinsia katika Mradi wa awamu ya pili ya kuwajengea uwezo Wabunge na Watumishi wa Bunge unaodhaminiwa na UNDP leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Bunge kutoka idara ya Maktaba na Utafiti wakiwa katika Mafunzo Maalum kwa Maafisa Utafiti wa Bunge kuhusu Masuala Mbali mbali yakiwemo utafiti katika Masuala yanayohusu Jinsia katika Mradi wa awamu ya pili ya kuwajengea uwezo Wabunge na Watumishi wa Bunge unaodhaminiwa na UNDP leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Bunge, Ndg. Jane Kajiru (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Bunge kutoka idara ya Maktaba na Utafiti baada ya kufungua Mafunzo Maalum kwa Maafisa Utafiti wa Bunge kuhusu Masuala Mbali mbali yakiwemo utafiti katika Masuala yanayohusu Jinsia katika Mradi wa awamu ya pili ya kuwajengea uwezo Wabunge na Watumishi wa Bunge unaodhaminiwa na UNDP leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)