Home Mchanganyiko SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WAJUMBE WA JUKWAA LA MAENDELEO ENDELEVU OFISINI KWAKE...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WAJUMBE WA JUKWAA LA MAENDELEO ENDELEVU OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

0

Mjumbe wa  Jukwaa la Maendeleo Endelevu Bi. Getrude Mugizi akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) wakati yeye na Wajumbe wenzake walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Bw. Richard Angelo, Bi. Getrude Mugizi, Bi. Vivian Ngowi, Bw. Augustine Vuma, Bi. Prisca Kowa na Bi. Iman Khatib.Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  akiagana na na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wa Maendeleo Endelevu Mhe. Augustine Vuma na anayefuatia ni Afisa Mwandamizi wa Policy Forum Bi. Prisca Kowa na wengine ni Maafisa wa Jukwaa hilo.

PICHA NA BUNGE.