Home Mchanganyiko IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI KISIWANI ZANZIBAR

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI KISIWANI ZANZIBAR

0

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akipita kukagua mradi wa ujenzi
wa nyumba za askari Polisi zilizopo katika eneo la Fuoni wakati alipofanya ziara
ya kikazi ya siku moja leo Kisiwani Zanzibar na kuzungumza na maofisa na
askari wa vyeo mbalimbali. Picha na Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima
wakati alipowasili visiwani Zanzibar leo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja
kwalengo la kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba za askari pamoja na
kuzungumza na maofisa na askari wa vyeo mbalimbali. Picha na Jeshi la Polisi.