Home Uncategorized CAG MSTAAFU AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI

CAG MSTAAFU AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI

0

Spika wa  Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu Bw. Ludovic Utoh alipomtembelea Ofisi kwake Jijini Dodoma mapema leo.