Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kibiti, Ally Ungando, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).