
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar

Wajumbe wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua kongamano hilo lililofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar

BAADHI ya Wajumbe wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua kongamano hilo lililofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 05/09/2019.



