RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika Ikulu Zanzibar leo 3-9-2019
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akiwasilisha ripoti ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa Julai 2018 hadi Juni 2019, kulia Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Kassim Ali
BAADHI ya Watendaji wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Ofisi yao kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg Salum Kassim Ali, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, , wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani.
BAADHIU ya Wakurugenzi wa Wizara ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakifuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa Ofisi yao kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayupo pichani.
MSHAURI wa Rais Masuala ya Sanaa na Utamaduni Mhe. Chimbeni Kheri , akizungumza wakati wa mkutano wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuzungumzia Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)