Home Mchanganyiko MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROFESA KABUDI

MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROFESA KABUDI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Usirikiano wa Afrika ya Mashariki. Profesa Palamagamba Kabudi katika Mkutano wa TICAD 7 uliofanyika kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pscifico Yokohama nchini Japan, hivi karibuni. Mkutano huo umemalizika na wote wamerejea nyumbani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)