Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao lake la pili dakika ya 55 baada ya kufunga lingine dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Kevin de Bruyne dakika ya pili na Bernardo Silva dakika ya 79 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YAICHAPA 4-0 BRIGHTON ,AGUERO ATUPIA MBILI
By Alex Sonna
September 1, 2019 | 4:15 am

Related Stories
View all
Michezo
2 hours ago
WAZIRI KAPINGA ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI QATAR
*Lengo ni kuongeza mauzo na uwekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani ya malighafi; *Ujumbe wa Tanzania wakutana na makamu wa kwanza wa chama cha…
Michezo
16 hours ago
MALIASILI YAISHUSHIA MVUA YA MAGOLI 41-14 RAS LINDI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAKAZi wa Mkoa wa Kilimanjaro na viunga vyake wameendelea kupata burudani ya kipekee kutoka kwa timu yao ya Maliasili ya…
