Home Mchanganyiko BREAKING NEWS: BASI LA MWENDOKASI LATEKETEA NA MOTO KIMARA JIJINI DAR ES...

BREAKING NEWS: BASI LA MWENDOKASI LATEKETEA NA MOTO KIMARA JIJINI DAR ES SALAAM

0

**********

Basi la usafiri wa haraka (Mwendokasi) la kampuni ya UDART la limeshika moto na kuteketea eneo la Kimara, jijini Dar es Salaam usiku huu.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na pia hakuna taarifa kusemekana kuna majeruhi ama vifo kwenye moto huo.