Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA DKT. TULIA ACKSON ALIPOKUTANA NA NAIBU SPIKA WA AFRIKA...

MATUKIO KATIKA PICHA DKT. TULIA ACKSON ALIPOKUTANA NA NAIBU SPIKA WA AFRIKA YA KUSINI

0

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli wakati walipokutana katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa. Viongozi hao wapo visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa. Viongozi hao wapo visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akiwa pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli wakifurahia jambo wakati walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akipewa zawadi ya bangili wakati yeye na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli wakitazama viungo mbalimbali wakati walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.