Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO WA SITA WA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA...

RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO WA SITA WA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu wa
Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja, alipowasili kuhutubia
Mkutano wa sita Jukwaa la Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya
Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 20, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Rais Mstaafu wa Awamu ya
Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa na Rais Mstaafu wa Nigeria Jenerali
Olusegun baada ya kuhutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi Afrika
katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti
20, 2019.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan na viongozi wastaafu katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya
Taasisi ya Uongozi baada ya kuhutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la
Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 20, 2019.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa
Somalia Mhe. Hassan Mohamed alipowasili kuhutubia Mkutano wa Sita wa
Jukwaa la Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini
Dar es salaam leo Agosti 20, 2019. Wanaofuatia kulia kwake ni Rais
Mstaafu wa Nigeria Jenerali Olusegun Obasanjo, Rais Mstaafu wa
Tanzania wa Awamu ya tatu Mhe. Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Afrika
Kusini Mhe. Thabo Mbeki na Mfanyabiashara mashuhuri wa Tanzania Bw.
Ally Mufuruki

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijiunga na viongozi
wastaafu kukiliza majadiliano wakati wa Mkutano wa Sita Jukwaa la
Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 20, 2019.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano wa Sita
Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu
jijini Dar es salaam leo Agosti 20, 2019