Home Michezo MAN CITY YAICHAPA 3-1 BOURNEMOUTH’AGUERO ATUPIA MBILI’

MAN CITY YAICHAPA 3-1 BOURNEMOUTH’AGUERO ATUPIA MBILI’

0

Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 15 na 64 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Bournemouth Uwanja wa Vitality. Bao la pili la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 43, wakati la Bournemouth limefungwa na Harry Wilson dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI SOMA  HAPA