Home Mchanganyiko PICHA: MKUTANO WA 50 WA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA...

PICHA: MKUTANO WA 50 WA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA

0
CPA AFRIKA ART

Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unategemea kuanza tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019 katika hoteli ya Madinat Al Bahr, Zanzibar

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)