Home Mchanganyiko ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA MKOANI LINDI

ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA MKOANI LINDI

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Rutamba, akiwa mkoani Lindi katika ziara ya kikazi ya siku mbili, Agosti 23.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutibia wananchi wa Kata ya Rutamba, kwenye mkutano wa hadhara, akiwa mkoani Lindi katika ziara ya kikazi ya siku mbili, Agosti 23.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Samwel Gunza, kuhakikisha maji yanatoka katika Kata ya Rutamba, mkoani Lindi, Agosti 23.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).