Home Mchanganyiko UPANDISHWAJI WA BEI YA MKATE WA BOFLO WILAYANI KUSINI PEMBA

UPANDISHWAJI WA BEI YA MKATE WA BOFLO WILAYANI KUSINI PEMBA

0

Mkuu wa Wilaya ya Kusini Pemba Rashidi Hadidi Rashid akizunguza na waandishi wa habari juu ya upandishwaji wa bei ya Mkate wa Boflo jambo ambalo kinyume na sharia ghafla hiyo imefanyika huko Ofisini kwake Kisiwani Pemba.

Waandishi wa habari wakichukuwa Maelezo kwa Mkuu wa Wiya ya Chake-chake Kusini Pemba Rashid Hadidi Rashidi mara walipofika Ofisini  hapo ghafla hiyo imefanyika Chake-chake Kisiwani Pemba.

                                    Picha na Miza Othman- Maelezo.