Home Michezo BAYERN MUNICH YANASA SAINI YA COUTINHO

BAYERN MUNICH YANASA SAINI YA COUTINHO

0

********************

NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Bayan Munich ya nchini Ujerumani imefanikiwa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazili Philipo Coutinho kwa uhamisho wa mkataba wa mkopo kwa msimu mmoja.

Aidha Bayern Munich wanakipengele cha kumbakiza moja kwa moja endapo wakivutiwa na huduma ya kiungo huyo wa zamani wa Liverpool kwa dau la €120 million pale mkataba wa mkopo utaqkapo malizika.