Chipukizi wa England, Mason Mount akiifungia Chelsea bao la kuongoza dakika ya saba baada ya kiungo mwenzake, Mnigeria Wilfred Ndidi wa Leicester City kuanguka timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kusawazisha la Leicester City limefungwa na Ndidi dakika ya 67 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
CHELSEA YABANWA MBAVU 1-1 NA LEICESTER CITY EPL
By Alex Sonna
August 18, 2019 | 7:07 pm

Related Stories
View all
Michezo
7 hours ago
SERIKALI IMESEMA UWANJA WA UHURU UPO TAYARI KWA DERBY
Michezo
2 days ago
KITONGA MARATHON KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA UTALII KILOLO
NA DENIS MLOWE, KILOLO WILAYA ya Kilolo mkoani Iringa imeeleza kuwa Kitonga Marathon inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, itatumika kama jukwaa la kutangaza fursa…
