Home Mchanganyiko KAMATI YA PAC YAPEWA MAFUNZO NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

KAMATI YA PAC YAPEWA MAFUNZO NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

0

Mkurugenzi wa Uwekezaji kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina Ndg. Lightness Mauki akifafanua jambo alipokuwa akitoa Mada kuhusu Changamoto za usimamizi wa Matumizi ya Mashirika ya Umma nchini kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC wakifuatilia jambo kwa karibu kwenye Semina kuhusu Changamoto za usimamizi wa matumizi ya Mashirika ya Umma nchini iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)