Home Mchanganyiko RAIS CYRIL RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA...

RAIS CYRIL RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI

0

Rais Cyril Ramaphosa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe wakiwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC

Rais Cyril Ramaphosa akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC

Rais Cyril Ramaphosa akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC

Rais Cyril Ramaphosa akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya
Ubungo Mhe. Kisare Makori alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo, Mkuu wa Wiklaya ya Kigamboni Mhe. Mhe. Sarah Misafiri na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC

Rais Cyril Ramaphosa akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto ni Kamanda wa Kanda Mazlumu ya Kipolisi ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC

PICHA NA IKULU