Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo mabao mawili dakika za 18 kwa penalti na 67 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Mabao mengine ya United inayofundishwa na kocha Ole Gunnar Solskjaer yalifungwa na Anthony Martial dakika ya 65 na Daniel James dakika ya 81 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
RASHFORD AFUNGA MAWILI MAN UNITED YAICHAPA 4-0 CHELSEA
By Alex Sonna
August 12, 2019 | 5:25 am

Related Stories
View all
Michezo
4 hours ago
BRAZIL YAICHAPA HAITI 3-0, YAONGOZA KUNDI C
Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia, timu ya taifa ya Brazil maarufu kama Seleção, imepata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Haiti…
Michezo
10 hours ago
MAREKANI YAICHAPA AUSTRALIA 2-0, YAFUZU HATUA INAYOFUATA
Timu ya Taifa ya Marekani imeendelea kuonyesha kiwango bora katika Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Australia…
