Home Michezo SIMBA SC WAIFUATA UD SONGO KWA MATUMAINI MAKUBWA YA USHINDI

SIMBA SC WAIFUATA UD SONGO KWA MATUMAINI MAKUBWA YA USHINDI

0
Wachezaji wa Simba SC wakati wa safari ya kwenda mjini Beira nchini Msumbiji kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Uniao Desportiva do Songo, kifupi UD Songo Jumamosi Uwanja wa HCB