Home Michezo ARSENAL YAMSAJILI DAVID LUIZ KUTOKA CHELSEA

ARSENAL YAMSAJILI DAVID LUIZ KUTOKA CHELSEA

0
Beki David Luiz akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 7 kutoka Chelsea akisaini mkataba wa miaka miwili kwenda kufanya tena kazi na kocha Unai Emery – ambaye awali alikuwa naye  PSG nchini Ufaransa PICHA ZADI SOMA HAPA