Home Mchanganyiko WAZIRI MASAUNI AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI...

WAZIRI MASAUNI AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME, VISIWANI ZANZIBAR

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa Kaunda suti), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mrakibu Muandamizi wa Uhamiaji, Bakari Mohammed Ameir, wakati wa ziara ya kukagua shughuli za Ulinzi na Usalama zinavyoendelea katika  Uwanja  wa  Ndege wa Kimataifa  wa Abeid Amani  Karume,  Visiwani  Zanzibar.Picha  na  Wizara  ya  Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa ziara ya kukagua shughuli za Ulinzi na Usalama zinavyoendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu  Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akiangalia mashine itakayotumiwa na Idara ya Uhamiaji  ikiwa ni utekelezaji wa mabadiliko ya teknolojia kutoka pasi za zamani za kusafiria kwenda kadi za kusafiria za kielektroniki, alipotembelea  Uwanja  wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani  Zanzibar.Picha  na  Wizara  ya  Mambo  ya  Ndani ya  Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipita kwenye  mashine  ya  ukaguzi wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli  za  Ulinzi na Usalama ,alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Visiwani  Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.