Home Mchanganyiko WAZIRI SINBACHAWENE AFANYA ZIARA ZANZIBAR, AKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI...

WAZIRI SINBACHAWENE AFANYA ZIARA ZANZIBAR, AKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

0

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akizungumza na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George
Boniface Simbachawene (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga Visiwani
Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George
Boniface Simbachawene (wa pili kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga
Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George
Boniface Simbachawene (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohamed Aboud (katikati)
alipomtembelea Ofisini kwake Vuga kujitambulisha. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mihayo Juma Nunga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George
Boniface Simbachawene (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohamed Aboud (katikati)
alipomtembelea Ofisini kwake Vuga kujitambulisha.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohamed
Aboud akimuonesha maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface
Simbachawene baada ya kumtembelea na kufanya nae mazungumzo Ofisini
kwake.

Mratibu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Khalid Bakari Hamrani
(wa pili kulia) akimpa maelezo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene kuhusu ujenzi
unaoendelea wa jengo la Kituo cha Afya Kianga Wilaya ya Magharibi A Mkoani
Mjini Magharibi unaojengwa kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na
kusimamiwa na wananchi wenyewe. Kulia ni Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya
Makamu wa Rais Lupi Mwaikambo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George
Boniface Simbachawene akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ujenzi wa
Kituo cha Afya cha Kianga Wilaya ya Magharibi A Mkoani Mjini Magharibi
unaojengwa kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na kusimamiwa na
wananchi wenyewe.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George
Boniface Simbachawene akizungumza alipotembelea eneo la Kilimani mjini
Zanzibar kwenye mradi wa miti ya mikoko kando ya Bahari ya Hindi ili kuhifadhi
mazingira ikiwa ni sehemu ya ziara yake. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya
Mazingira Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Farhat Ali Mbarouk.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George
Boniface Simbachawene akizungumza na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar alipotembelea Ofisi hiyo kujitambulisha.