Home Mchanganyiko WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI YA POLISI, UHAMIAJI NA...

WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI YA POLISI, UHAMIAJI NA MAGEREZA JIJINI DAR ES SALAAM,LEO

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na
Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa
kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara yake. Kikao
hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. wapili kushoto ni Kamishna Jenerali
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF), Thobias Andengenye, na kushoto
ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu
(kushoto) akizungumza katika Kikao cha Tume ya Utumishi ya Polisi,
Uhamiaji na Magereza cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo katika
Wizara hiyo. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Waziri
wa Wizara hiyo, Kangi Lugola. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na
Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa
kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara yake. Kikao
hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia meza kuu)
akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na
Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini
ya Wizara yake. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto
meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.