Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AFUNGUA AZINDUA MAADHIMISHO YA NANE NANE SIMIYU

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AFUNGUA AZINDUA MAADHIMISHO YA NANE NANE SIMIYU

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast 01,2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mkakati Maalum wa kupambana na Hasara zitokanazo na mambo ya kilimo kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast 01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, na kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Mpango Mkakati Maalum wa kupambana na Hasara zitokanazo na mambo ya kilimo baada ya kuuzindua kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast 01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, na kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Kilimo cha JKT Luteni Canali Rushika alipotembelea katika mabanda ya maonesho kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast 01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, na kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.