Naibu wa Waziri wa Kilimo ,Mhe Husein Bashe akipata maelezo toka kwa ofisa mwandamizi wa Utafiti vifaa vya Mionzi wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania Bwana Yesaya Sungita mara alipotembelea kwenye maonesho ya Nane nane yanayofanyika kwenye uwanja wa Nyakabindi Wilayani Bariadi ,mkoani Simiyu ambapo pamoja na mambo mengine , Mh Bashe amehoji ushirikiano wa TAEC na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na kupata majibu kuwa ushurikiano upo kwa Taasisi hizo upo.