Home Mchanganyiko Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi ...

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd(kulia), akifurahia baada ya kumtwisha ndoo ya maji mwananchi wa Mahonda baada ya Uzinduzi wa Mradi wa Maji kwenye Eneo la Nyumba za Polisi, zilizoko katika Jimbo la Mahonda, Mkoa wa Kaskazini Unguja.Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

0

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi  Seif Ali Idd, akifungua bomba kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Maji kwenye Eneo la Nyumba za Polisi, zilizoko katika Jimbo la  Mahonda, Mkoa wa  Kaskazini Unguja. Aliyevaa koti ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi  Seif Ali Idd, akimtwisha ndoo ya maji mwananchi wa Mahonda baada ya  Uzinduzi wa Mradi wa Maji kwenye Eneo la Nyumba za Polisi, zilizoko katika Jimbo la  Mahonda, Mkoa wa  Kaskazini Unguja.Katikati  ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi  Seif Ali Idd(kulia), akifurahia baada ya  kumtwisha ndoo ya maji mwananchi wa Mahonda baada ya  Uzinduzi wa Mradi wa Maji kwenye Eneo la Nyumba za Polisi, zilizoko katika Jimbo la  Mahonda, Mkoa wa  Kaskazini Unguja.Wapili kulia   ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.