Muonekano wa sehemu ya Daraja la Reli ya SGR litalopita juu kutoka Ilala hadi Stesheni ya Dar es salaam linavyoonekana likimaliziwa kujengwa maeneo ya Shaurimoyo kama lilivyopigwa picha leo na Issa Michuzi
Na Mwandishi wetu– Dodoma
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa kesho Agosti 12, 2022, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya...