Home Michezo MAJALIWA AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TIMU YA SOKA YA NAMUNGO NA KUWAKABIDHI...

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TIMU YA SOKA YA NAMUNGO NA KUWAKABIDHI MIPIRA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya soka ya Namungo, baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi Julai 30, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 30, 2019 amekabidhi mipira ipatayo 30 kwa timu ya soka ya Namungo. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akimkabidhi kocha Mkuu wa timu ya Namungo FC Hitimana Thierry  , moja kati ya mipira hiyo baada ya kuzungumza na wachezaji kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Mjini,na kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Shaibu Ndemanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)