Home Mchanganyiko MAJALIWA AWASILI JIMBONI KWAKE RUANGWA KWA MAPUMZIKO MAFUPI

MAJALIWA AWASILI JIMBONI KWAKE RUANGWA KWA MAPUMZIKO MAFUPI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi akiwa njiani kwenda jimboni kwake Ruangwa kwa mapumziko mafupi, Julai 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa akisalimiana na viongozi wa kata ya Nanganga wakati alipowasili kwenye Shule ya Msingi ya Nanganga wilayani Ruangwa akiwa katika mapumziko mafupi jimboni kwake, Julai 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa akizungumza na wananchi katika viwanja vya Shule ya Msingi ya Nanganga wilayani Ruangwa, Julai 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)