Home Biashara WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BoT SABASABA NA KUPATA ELIMU YA MASUALA YA...

WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BoT SABASABA NA KUPATA ELIMU YA MASUALA YA FEDHA

0

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Albert Jonkergouw akifafanua jambo alipotembelea banda la BoT kwenye maonesho ya Sabasaba

Meneja Msaidizi, Dawati la Malalamiko BoT, Bw. Ganga Mlipano akielezea jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bw. Albert Jonkergouw alipotembelea banda la BoT

Meneja Msaidizi Idara ya Sarafu, Bw. Abdul Dollah akiwafundisha wanafunzi kutoka shule ya Grace Nursery and Primary School

Mchumi, Bw.Jeremiah Munuo kutoka Kurugenzi ya Utafiti na Sera za Uchumi akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya Grace Nursery and Primary School walipotembelea banda la BoT Sabasaba

Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki, Victoria Msina akizungumza na wanafunzi wa shule ya Grace Nursery and Primary School walipotembelea banda la BoT

Afisa Rasilimali Watu kutoka Bodi ya Bima ya Amana, Bi.Joyce Shala akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Canossa walipotembelea banda la BoT Sabasaba

Mkaguzi wa Mabenki, Bw. Gwamaka Charles kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Canossa waliotembelea banda la BoT Sabasaba.

Afisa Mwandamizi Rasilimali Watu kutoka Kurugenzi ya Utumishi na Uendeshaji BoT, Bw. Ismail Ngoisa akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Canossa walipotembelea banda la BoT Sabasaba