Home Burudani Bi. IRENE ROBERT AMEACHIA WIMBO WA TEMBEA

Bi. IRENE ROBERT AMEACHIA WIMBO WA TEMBEA

0

Baada ya kukamata anga katika nyimbo za injili hapa nchini, Bi.Irene Robert sasa ameamua kuja wimbo huitwao Tembea ambao kwasasa ni wimbo wake wa nne baada ya kutoa nyimbo tatu nyuma.

Msanii wa huyo ambaye alitamba na wimbo wa Kishindo sasa ameamua kuja juu na kutamani kuwa wakimataifa.

Bi.Irene amewataka mashabiki wote wa nyimbo za injili waweze kumpatia ushirikiano wa kutosha kwani wao ndo wanamfanya aweze kufanya vizuri.

Wimbo huo unapatikana Youtube ambao mpaka sasa unafanya vizuri.