Home Mchanganyiko WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AWAAGA MADAKTARI WA KICHINA ZANZIBAR

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AWAAGA MADAKTARI WA KICHINA ZANZIBAR

0

Baadhi ya Madaktari wa Kichina waliohudhuria katika Hafla maalum ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wao wa kutumikia ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.

Kiongozi wa Timu ya Madaktari wa Kichina waliomaliza muda wao wa kutumikia Dk,Zhang Zhen akitoa hotuba ya shukrani katika Hafla maalum ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wao ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.

Kiongozi wa Timu ya Madaktari wa Kichina waliofika Nchini DK,Yang Xiaodong akitoa hotuba yake katika hafla maalum ya kuwaaga wenzao waliomaliza muda wao ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum akitoa hotuba ya Shukrani kwa Madakari wa Kichina katika Hafla maalum ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wao ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika Hafla maalum ya kuwaaga Madaktari wa Kichina baada ya kumaliza muda wao ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.

Waziri wa Afya Hamad Rashid (kulia)akimpa zawadi kiongozi wa Timu ya Madaktari waliomaliza muda wao Dk,Zhang Zhen katika Hafla maalum ya kuwaaga Madaktari wa Kichina baada ya kumaliza muda wao ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.

Waziri wa Afya Hamad Rashid (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya na Madaktari wa Kichina   katika Hafla maalum ya kuwaaga Madaktari hao baada ya kumaliza muda wao  ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.