Na.Alex Sonna,Dodoma
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira n Mh Anthony Mavunde amewasihi wananchi wa eneo la Mjimwema kata ya Chang’ombe Jijini Dodoma kuendelea kuwa watulivu kwani mgogoro wa ardhi unaowakabili kwa muda mrefu umefanyiwa kazi na muda sio mrefu wataona matokeo yake.