Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS...

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS WA NIGER

0

Makamu wa Rais wa Jamhutri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais Emmason Nangagwa wa Zimbabe walipokuta kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamadou Issoufour wa Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika AfCFTA uliofanyika mjini Niamey Nchini Niger.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Gabriel Antonio Tshekedi wa Congo walipokuta kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamadou Issoufour wa Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika AfCFTA uliofanyika mjini Niamey Nchini Niger.

Makamu wa Rais wa Jamhutri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania aliouongoza kushiriki mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika AfCFTA uliofanyika mjini Niamey Nchini Niger, kwenye mkutano huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli.                                         (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)