Home Mchanganyiko TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

0

JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LINAENDELEA NA OPERATION KALI ILIYOANZA TAREHE 4/6/2019. MPAKA SASA   LIMEFANIKIWA KUWAKAMATA WATUHUMIWA  SUGU AROBAINI NA SITA (46) WANAOJIHUSISHA NA MAKOSA MBALIMBALI YAKIWEMO UNYANG’ANYI, KUPATIKANA NA DOLLA BANDIA (UTAPELI) , WIZI WA VIFAA (VIPURI) VYA MAGARI , USAFIRISHAJI , UUZAJI NA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA NA UHALIFU WA KUVUNJA NYUMBA USIKU NA KUIBA .

WAHALIFU SUGU WA MATUKIO YA  UNYANG’ANYI, WALIKAMATWA TAREHE 07/06/2019 NDANI YA ZIWA VICTORIA MAENEO YA KUNENE, BWIRO, KWERU NA IRUGWA WILAYANI UKEREWE, PIA ILEMELA KATIKA VISIWA VYA BEZI NA MAKOBA . ENEO LA SENGEREMA KATIKA VISIWA VYA  KASARAZI, ZILAGURA, IYOZU NA MAISOME AMBAPO JUMLA YA WATUHUMIWA 21 WALIKAMATWA, WAKIWA NA INJINI 21 ZA MITUMBWI   NA KUTAMBULIWA NA WAMILIKI.  PIA NYAVU HARAMU 195 NA PIKIPIKI MBILI MOJA AINA YA SAN LG NA NYINGINE NISANI AMBAZO NAMBA ZAKE ZIKIWA ZIMEFUTWA ZILIKAMATWA.

UTAPELI / KUPATIKANA NA DOLLA BANDIA NA SHILINGI BANDIA, TAREHE 28/06/2019 HADI TAREHE 30/06/2019, OPERESHENI HIYO ILIWANASA MATAPELI 6 WA DOLLA BANDIA NA SHILINGI BANDIA KATIKA WILAYA ZA NYAMAGANA NA SENGEREMA AMBAPO JUMLA YA WATUHUMIWA WATANO (5) WA DOLLA (FAKE) BANDIA WALIKAMATWA WILAYANI NYAMAGANA WAKIWA NA DOLLA BANDIA NOTI 599 @ 100 ZENYE NAMBA MOJA INAYOFANANA NA MTUHUMIWA MMOJA (1) ALIKAMATWA WILAYANI SENGEREMA AKIWA NA NOTI BANDIA 32 ZA SHILINGI ELFU KUMI KUMI THELATHINI NA MBILI

WEZI WA VIFAA VYA MAGARI, TAREHE 24/06/2019 HADI 30/06/2019,  WALIKAMATWA WEZI 9 WA VIFAA VYA MAGARI (VIPURI) KWENYE MAKAZI YA WATU HUKU WAKIKUTWA NA VIPURI  MBALIMBALI VIKIWEMO , TAA ZA MAGARI, VITASA ,REDIO YA GARI SIDE MIRRORS .

 WAVUNJAJI WA NYUMBA USIKU NA KUIBA, WATUHUMIWA WATANO (5) WALIKAMATWA PAMOJA  NA TV SABA  ZIKIZOIBWA ZA AINA MBALIMBALI,ZILIPATIKANA PIA  MAJIKO NA MITUNGI YA GESI NA LAPTOP VIKIPATIKANA NA  BAADHI YA VITU HIVYO TAYARI VIMETAMBULIWA

MADAWA YA KULEVYA, HUKO MAENEO YA MAGU NA IGOMA KWA NYAKATI TOFAUTI WAMEKAMATWA WATUHUMIWA 05 WAKIWA NA JUMLA YA KILOGRAMU 78.28 ZA MADAWA YA KULEVYA AINA YA MIRUNGI.

 • ORODHA YA MAJINA YA WATUHUMIWA 21 WA MAKOSA YA UNYANG’ANYI. NI KAMA IFUATAVYO;-

 1. MUHOJA MAGENDO, MIAKA 31, MSUKUMA, MKAZI WA KAYENZE.

 2. PETER TEREMARA TIMOTEO, MIAKA 33, MSUKUMA, MKAZI WA NYASHIMO.

 3. INNOCENT JOHN SALULA, MIAKA 35, MKEREWE, MKAZI WA NANSIO.

 4. ANTONY LUSANGI, MIAKA 30, MJITA, MKAZI WA NANSIO.

 5. MAGANA SAIDI HUSSEIN, MIAKA 35, MKAZI WA HAMUYEBHE.

 6. FAUSTINE DENIS MALINDI, MIAKA 26, MKEREWE, MKAZI WA BUGARA.

 7. DEONATUS MAGUMBA @ SLYVESTER, MIAKA 50, MKARA, MKAZI WA NANSIO.

 8. DOTTO MALEMU LUNZEWE @ PAULO, MIAKA 32, MKAZI WA NANSIOA

 9. IGOTI MARWA WEREMA, MIAKA 35, MSIMBITI, MKAZI WA NYASHANA.

 10. MASHAKA MASANJA, MIAKA 25, MSUKUMA, MKAZI WA KAYENZE.

 11. RAPHAEL HENRICO, MIAKA 40, MSUKUMA, MKAZI WA NYASHIMO

 12. EMMANUEL ZEPHANIA, MIAKA 21, MSUKUMA, MKAZI WA NYAMATONGO

 13. FRANK NJILE, MIAKA 20, MSUKUMA, MKAZI WA GIRUKWA – GEITA

 14. MICHAEL MISANA, MIAKA 22, MJITA, MKAZI WA KAYENZE – MWANZA

 15. JOSEPH TESEKO, MIAKA 20, MSUKUMA, MKAZI WA KATORO –GEITA.

 16. LUCAS ELIAS @ MABEJA, MIAKA 40, MSUKUMA, MKAZI WA MKOLANI

 17. MAINGU KAGUA @ MWIRONGO, MIAKA 31, MJITA MKAZI WA MACHINJIONI

 18. JOSEPHAT WILSON MAZOYA, MIAKA 45, MSUKUMA, MKAZI WA IGOMBE

 19. MUSA ZABRONI @  MACHUNDA, MIAKA 34, MSUKUMA, MKAZI WA IGOMBE

 20. JOSHUA KILASA, MIAKA 46, MSUKUMA, MKAZI WA NYAGUNGE.

 21.    MASUMBUKO MAULID MLEKELWA, MIAKA 40, MNYAMWEZI, MKAZI WA CHATO

 • ORODHA YA INJINI 21 ZILIZOKAMATWA KATIKA MAKOSA YA UNYANG’ANYI WA KUTUMIA NGUVU NDANI YA ZIWA VICTORIA.

 1. YAMAHA 9.9 HP YENYE NAMBA BMH6B3K-L1010641.

 2. YAMAHA 9.9 HP YENYE NAMBA BMH6B3K-L1020737

 3. YAMAHA 9.9 HP YENYE NAMBA DM6B3K – L1020731.

 4. PARSUAN 15HP YENYE NAMBA T15BM1NO902 -3781.

 5. YAMAHA 9.9 HP YENYE NAMBA 6B3K –L1006025.

 6. YAMAHA 9.9 HP YENYE NAMBA 6B3K – L1066067.

 7. HAIJAJULIKANA AINA WALA JINA BALI IMEANDIKWA JINA LA  ISACK LUPIMO

 8. YAMAHA 9.9 HP YENYE NAMBA 0188920623

 9. PARSUAN HP 15.

 10. YAMAHA HP 15 YENYE NAMBA  6B4KL 1092793

 11. YAMAHA HP 15 YENYE NAMBA 6B4KL -12949552

 12. SUZUKI HP 15 YENYE NAMBA 01504-415399

 13. YAMAHA HP 15 YENYE NAMBA 1207363

 14. YAMAHA 9.9 YENYE NAMBA 1011853

 15. SUZUKI HP 15 YENYE NAMBA 512775

 16. YAMAHA HP. 9.9 YENYE NAMBA F15DMH6B4KL125824

 17. SUZUKI HP 15 YENYE DT150154-504-316561

 18. YAMAHA 9.9 YENYE NAMBA F9.9DM16B3K-1018309

 19. SUZUKI 9.9 YENYE NAMBA 410353

 20. SUZUKI 9.9 YENYE NAMBA 611170

 21. INJINI MOJA ILIYOTENGANISHWA.

 • ORODHA YA WATUHUMIWA WA DOLLA BANDIA NA SHILINGI BANDIA (MATAPELI)

 1.  JOSEPH DANIEL OKWALO, MIAKA 23, MJITA, MKAZI WA BUGANDO MISSION.

 2. ANATORY EDWARD SHILIDE @ WHITE, MIAKA 26, MNYAMWEZI, KULI WA MABASI YA FRIENDS, MKAZI WA NDOFE- IGOMA.

 3. FREDY DANIEL JOSEPH, MIAKA 19, MFANYAKAZI WA MABASI YA FRIENDS, MKAZI WA BUGANDO MSSION.

 4. KUKUNDAKWE DENUS KARUKWANZI, MIAKA 38, MNYANKOLE, MENEJA WA MABASI YA FRIENDS NA

 5. BI AIDA MKUMBO IDD, MIAKA 40, MNYIRAMBA, MKATA TIKETI WA MABASI YA FRIEND.

 6. OSCAR HAJI, MIAKA 22, MKAZI WA NYAMKUMBO – GEITA.

 • ORODHA YA WEZI WA VIFAA (VIPURI) VYA MAGARI.

 1. SAMWEL PAULO @ MTALIBANI, ALIPATIKANA AKIWA NA TAA 19 ZA MAGARI MBALIMBALI YAKIWEMO IST, HARRIER, BREVIS NA NOAH.

 2. ESTOMY ABRAHAM MUSHI, ALIPATIKANA NA TAA 7 ZA MAGARI MBALIMBALI, FENI YA REJETA 1, WIPER 3 NA SITE MIRROR 4.

 3. MURUMBE JOHN, ALIPATIKANA NA TAA 6 ZA MAGARI MBALIMBALI, RADIO YA GARI 1 NA VITASA VYA MAGARI 5.

 4. RAJAB IBRAHIM, ALIPATIKANA NA TOP COVER YA INJINI 1.

 5. THOMAS CHRISTOPHER ODONGO, ALIPATIKANA NA SHOCKUP 4, MIFUNIKO YA REJETA 6 NA HANDBRAKE WIRE 1.

 6. ABEID AMOUR JARIFU, ALIPATIKANA NA TAA 1 YA HARRIER.

 7. PHINIAS ELIJA @ RYUBA, HUYU NI MUUZAJI WA VIFAA VYA WIZI VYA MAGARI.

 8. GEOFREY MSELLE, MUUZAJI WA VIFAA VYA MAGARI.

 9. AUGUSTINO FRANCIS SEMAINDA, MUUZAJI WA VIFAA VYA MAGARI.

 • ORODHA YA WAHALIFU WA KUVUNJA NYUMBA USIKU NA KUIBA.

 1. SHABANI NASORO, MIAKA 50, MMNYAMWEZI, DEREVA, MKAZI WA MABATINI.

 2. WILIAM YAMO, MIAKA 35, MJALUO, MUUZA KUKU, MKAZI WA MABATINI.

 3. CHARLES EMMANUEL, MIAKA 24, MSUKUMA, MUUZA KUKU MKAZI WA MABATINI.

 4. ISSA NGOROKE, MIAKA 41, MNYAKKYUSA, MUUZA KUKU WA MABATINI.

 5. BASELE MASHENENE, MIAKA 27, MKEREWE, MUUZA KUKU WA MABATINI.

 • ORODHA YA WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA;-

 1. BENARD ISAYA MAKORE, MIAKA 21, MWIKIZU, MKAZI WA BUNDA

 2. CHIKU WANKURU, MIAKA 26, MKURIA, MKULIMA, MKAZI WA SIRALI

 3. YUSUPH LUKANYAKA, MIAKA 23, MSUKUMA, MKAZI WA MAGU

 4. ELIAS JOHN, MIAKA 34, MSUKUMA, MKAZI WA KISESA- MAGU

 5. MARIAM JOSEPH, MIAKA 21, MSUKUMA, MKAZI WA NYAKATO -MWANZA

JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LINAENDELEA NA MAHOJIANO NA WATUHUMIWA WOTE AMBAO NI SEHEMU YA MAKUNDI HAYA WATAKAMATWA NA KIFIKISHWA MBELE YA VYOMBO VYA KISHERIA

IMETOLEWA NA            

Muliro J MULIRO (ACP)

KAMANDA WA POLISI (M)

MWANZA