Home Mchanganyiko NAIBU WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA WILLIAM OLE NASHA ATEMBELEA BANDA...

NAIBU WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA WILLIAM OLE NASHA ATEMBELEA BANDA LA VETA

0

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha akiangalia zawadi zake wakati Afisa Habari wa Veta Dora Tesha alipokuwa akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Sylvia Lupembe kwa niaba yake alipotembelea banda la Veta kwenyr maonesho ya biashara ya kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya JK Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam jana.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha akizungumza kwenye banda la VETA alipotembelea kwenye banda hilo jana kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya JK Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam kutoka kulia ni  Afisa Habari wa VETA Dora Tesha, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Sylvia Lupembe  katikati ni Felix Staki Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala VETA.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Sylvia Lupembe akifurahia jambo na Afisa Habari wa VETA Dora Tesha wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha katika banda la VETA.

Ernest Daniel Mbunifu kifaa cha mfumo wa kufundishia watoto mashuleni kuhusu Mzunguko wa Sayari akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha wakati alipotembelea katika banda la VETA jana.

Ernest Daniel Mbunifu kifaa cha mfumo wa kufundishia watoto mashuleni kuhusu Mzunguko wa Sayari akimuonesha  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha kitabu chenye maandiko mbalimbali kuhusu mfumo huo.