Home Mchanganyiko WANAFUNZI NA WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA KUJIFUNZA...

WANAFUNZI NA WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA KUJIFUNZA KUHUSU SHUGHULI ZA BUNGE

0

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa-Ofisi ya Bunge, Bw. Daniel Eliufoo akimueleza jambo Katibu wa Bunge Bw. Stephen Kagaigai alipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge kujionea shughuli zinazofanyika katika Banda hilo katika maonyesho ya  43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Afisa wa Ofisi ya Bunge, Bw. Omary Machunda akiwapa Elimu kuhusu Bunge  Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maximillian iliyopo Tabata walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya  43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Afisa wa Ofisi ya Bunge, Bw. Onesmo Laulau akiwapa Elimu kuhusu Bunge  Wananchi walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya  43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Afisa wa Bunge, Bw. Thomas Shawa akitoa elimu kuhusu Bunge kwa Wananchi waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya  43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Afisa Mwandamizi wa Bunge, Bw. Peter Magati akiwapa elimu kuhusu Bunge  Wanafunzi na Walimu kutoka Shule ya Msingi Real Hope kutoka Mbagala  waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya  43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

 

PICHA NA BUNGE