Home Mchanganyiko BENKI YA NBC YANG’ARA MAONESHO YA SABASABA, YATWAA TUZO YA MSHINDI WA...

BENKI YA NBC YANG’ARA MAONESHO YA SABASABA, YATWAA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA TAASISI ZA KIFEDHA

0

Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan, akikabidhi kikombe cha mshindi wa kwanza katika Kitengo cha Taasisi za Fedha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam katika Viwanja vya Sabasaba,Dar es Salaam jana. NBC iliibuka na ushindi wa kwanza wa Muoneshaji Bora katika kundi la Taasisi za fedha.

Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan (kushoto) akilakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi kabla hajatembelea banda ya benki hiyo katika maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam katika Viwanja vya Sabasaba yaliyofunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam Jana. Kulia ni Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe. 

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (katikati) akisalimiana na baadhi ya watendaji wa NBC wakati akiporembelea  banda ya benki hiyo katika maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam katika Viwanja vya Sabasaba yaliyofunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam Jana. Kulia kwa Makamu wa Rais ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Thaobald Sa NBC iliibuka na ushindi wa kwanza wa Muoneshaji Bora katika kundi la Taasisi za Fedha. 

Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akisikiliza maelezo ya bidhaa zinazotengenezwa na mmoja wa wajasiriamali wakati akitembelea banda la Benki  ya   NBC katika maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam katika Viwanja vya Sabasaba yaliyofunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam Jana. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Theobald Sabi na kulia kwake ni Waziri wa Viwanda na BIashara, Innocent  Bashungwa.   NBC ilitwaa tuzo ya mshindi wa kwanza ya Muoneshaji Bora katika kundi la Taasisi za Fedha.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia), akisikiliza maelezo ya bidhaa mbalimbali zinazoonyeshwa na mmoja wa wajasiriamali katikabanda la Benki ya NBC, wakati wa maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere, Sabasaba, Dar es Salaam Jana. NBC iliibuka na ushindi wa kwanza wa Muoneshaji Bora katika kundi  la Taasisi za Fedha. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi na anayeangalia kwa karibu ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa.