Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo.Kushoto ni waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), Katibu Mkuu wa wizara, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu ,Ramadhani Kailima (kulia) wakikagua orodha ya mali za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), wakati wa kikao na uongozi wa mamlaka hiyo lengo ikiwa ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo.Waliosimama ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anold Kihaule na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha NIDA, Merckion Ndofi(kushoto). Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Merlin Komba, akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA),lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), Dk. Arnold Kihaule akiwasilisha muhtasari wa mali za mamlaka hiyo mbele ya uongozi wa juu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo.Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi