Home Biashara BENKI KUU YA TANZANIA (BoT) KUTOA ELIMU YA MASUALA MBALIMBALI KATIKA MAONESHO...

BENKI KUU YA TANZANIA (BoT) KUTOA ELIMU YA MASUALA MBALIMBALI KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA TANTRADE YANAYOENDELEA BARABARA YA KILWA

0

Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) kulia na Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano wa BOT, Vicky Msina kushoto  na maofisa wengine kutoka Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki, Bw. Lwaga Mwambande, na Bw.Innocent Mmari wakiwa katika banda la BOT kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa TANTRADE yanayoendelea viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo

Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) kulia na Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano wa BOT, Vicky Msina kushoto wakitoa maelezo kwa wageni waliotembelea katika banda hilo.

Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano wa BOT, Vicky Msinaakitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi walitembelea katika banda hilo.

Picha mbalimbali zikionyesha baadhi ya maofisa waBenki Kuu kutoka  idara mbalimbali wakitoa huduma ya kutoa elimu kwa wananchi mbalimbali wanaotembelea katika banda la BOT kwenye maonesho hayo.

Mkurugenzi wa Sera za Uchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Suleiman Misango akimsikliza mmoja wa maofisa wa Benki kuu wanaotoa elimu ya masuala mbalimbali kuhusu benki kuu  katika banda hilo.