Home Biashara SHIRIKA LA TAIFA LA BIMA (NIC) LASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA

SHIRIKA LA TAIFA LA BIMA (NIC) LASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA

0

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa NIC wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa maonyesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa NIC wakiwa kwenye ‘pozi’ wakati wa maonyesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Afisa Bima wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Honest Valence kulia akitoa maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na NIC kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao walitembelea banda hilo jana wakati wa maonyesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.