Home Mchanganyiko POLISI IRINGA: TAARIFA YA AJALI YA MAGARI KUGONGANA KUSABABISHA VIFO NA...

POLISI IRINGA: TAARIFA YA AJALI YA MAGARI KUGONGANA KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI PAMOJA NA UHALIBIFU WA MALI

0

MNAMO TAREHE 25..06.2019 MAJIRA YA 05:45HRS MAENEO YA IZAZI KATA YA IZAZI TARAFA YA ISMANI WILAYA YA IRINGA NA MKOA WA IRINGA KATIKA BARABARA KUU YA IRINGA-DODOMA.
GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI STL 3807 AINA YA TOYOTA HILUX MALI YA TARURA IKIENDESHWA NA LODRICK S/O [email protected], MIAKA 35, KABILA MCHAGA NA MKAZI WA DSM LIKITOKEA IRINGA KUELEKEA DODOMA LILIGONGANA USO KWA USO NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T 146 BAZ AINA YA MITSUBISH FUSO MALI YA WILSON S/O MSENGA WA IRINGA LIKIENDESHWA NA AMOS S/O ??? WA IRINGA LIKITOKEA DODOMA KUELEKEA IRINGA.
MADHARA
VIFO

1.LODRICK S/O [email protected] WA TARURA
2.JOYCE D/O [email protected], MIAKA 45, KABILA MCHAGA MKAZI WA MOSHI.

MAJERUHI
1.ERNEST S/O MGENI, MIAKA 49, KABILA MKINGA NA MKAZI MBOZI
2.GERVAS S/O MYOVELA, MIAKA44, KABILA MHEHE MKAZI WA MBOZI 3.JAMADIN S/ MIKATA, MIAKA 32 ,KABILA MNGONI NA MKAZI WA MBOZI

WOTE WALIKUWA KWENYE GARI LA TARURA NA WAMEHAMISHIWA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA KWA MATIBABU.

AIDHA, MIILI YA MAREHEMU IMEKABIDHIWA KWA MENEJA WA TARURA MANISPAA IRINGA NA KUPEKEKWA DODOMA TAYARI KWA UTARATIBU WA MAZISHI.

CHANZO CHA AJALI NI UZEMBE WA DEREVA WA FUSO KUSHINDWA KULIMUDU GARI LAKE NA KUSABABISHA KUHAMA UPANDE MMOJA NA KUGONGANA USO KWA USO AMBAYE AMEKIMBIA MARA BAADA YA AJALI HIYO NA ANATAFUTWA.
WITO
MADEREVA WAWE MAKINI WANAPOTUMIA BARABARA WASIJIONE WAKO PEKE YAO BALI WAHESHIMU SHERIA NA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA.