Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akihutubia watumishi wa Ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake na watumishi hao ikiwa ni sehemu kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma inayoendelea ambayo iliambatana na mafunzo kuhusu masuala ya utumishi wa umma kwa watumishi hao.Mkutano huo ulifanyika Juni 22, 2019 Ukumbi wa mikutano wa PSSSF Jijini Dodoma


Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na watumishi hao ikiwa ni sehemu ya kuhitimisha mafunzo ya masuala ya utumishi wa umma ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya Utumishi wa umma inayoendelea.

